Global

Victorious Genesis Hall (Mkubwa)


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Victorious Genesis

    Added By

    Victorious Genesis

Starts From :

Tsh 900,000.00

Victorious Genesis Hall ni ukumbi wa kisasa uliopo Kimara temboni mkabala na barabara ya Morogoro, unatazamana na KKKT temboni

  • Booking ya ukumbi inakamilika baada ya kufanya malipo ya asilimia 50, malipo mengine yanatakiwa kukamilika juma moja kabla ya sherehe husika.

  • Malipo yafanyike bank

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha kufanya sherehe kiasi cha sh 100000 kutoka ofisi za manispaa ya ubungo

  • Mteja akihairisha sherehe malipo ya awali hayatarudishwa

  • Air Conditioning/Heating
  • Accessible Facilities
  • Outdoor Space
  • AV Equipment:
  • Dressing Rooms
  • Security Services
  • Photo Booth

  • 1. MENU 1 = Tsh 12,000 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 13,500 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 15,000 /-

  • 4. MENU 4 = Tsh 18,000 /-

  • 5. MENU 5 = Tsh 20,000 /-

  • 6. MENU 6 = Tsh 25,000 /-

  • 1. STANDARD = Tsh 2,000,000 /-

  • 2. EXECUTIVE = Tsh 4,000,000 /-

  • 3. VIP = Tsh 6,000,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)