Global

Mrina Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Mrina Hall

    Added By

    Mrina Hall

Starts From :

Tsh 1,500,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Manzese ni ukumbi unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali kama harusi, sendoff na kitchen party

  • Haturusu chakula, mapambo na vinywaji kutoka nje

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha sherehe katika ofisi za manispaa

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Security Services
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)