Global

Fimbo Social Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Fimbo Social

    Added By

    Fimbo Social

Starts From :

Tsh 1,500,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na ni mkubwa wenye kutosha watu wengi unapatikana Kimara resort Barabara ya Morogogoro road

  • Endapo mteja ataamua kuahilisha sherehe malipo yaliyofanyika yatarudishwa pale ambapo atapatikana mteja mwingine

  • Gharama ya kibali Cha sherehe ni shilingi 100000 malipo yote yafanyike manispaa ya Ubungo na mteja mwenyewe

  • Malipo yote yafanyike wiki Moja kabla ya sherehe

  • Makabidhiano ya vinywaji yatafanyika SAA 9 mchana siku ya sherehe

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni SAA 6 usiku

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Security Services
  • Shuttle Service

  • 1. MENU 1 = Tsh 12,500 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 13,500 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 15,000 /-

  • 4. MENU 4 = Tsh 16,500 /-

  • 5. MENU 5 = Tsh 20,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)