Global

Kuringe hall (Mdogo)


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Hall Red

    Added By

    Hall Red

Starts From :

Tsh 500,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Mbezi beach Makonde

  • Booking ya ukumbi inakamilika baada ya kufanya malipo ya awali 50%

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Sherehe isipofanyika fedha hailudishwi, italudishwa pale atakapopatikana mteja mwingine kwa tarehe hiyo.

  • Malipo ya mwisho yafanyike wiki moja kabla ya sherehe husika

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha sherehe katika ofisi za manispaa

  • Air Conditioning/Heating
  • AV Equipment:
  • Security Services

  • 1. MENU 1 = Tsh 16,000 /-

  • 1. Kuringe hall (Mdogo) decoration package = Tsh 1,800,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)