Global

St.Agustine hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • St. Agustine Hall

    Added By

    St. Agustine Hall

Starts From :

Tsh 1,000,000.00

Ukumbi wa St. Agustine unapatikana katika jengo la Mavurunza social center, lililopo katika parokia ya Kanisa katoliki Mavurunza, eneo la kimara suca,barabara ya Morogoro.

  • Malipo ya ukumbi yafanyike siku 7 kabla ya sherehe husika.

  • Malipo ya emergency ni kiasi cha sh 100000 endapo mteja akifanya uharibifu wowote itakatwa kama fidia

  • Malipo ya awali ni sh 300000

  • Iwapo mteja atahairisha kufanya shughuli malipo ya awali hayatarudishwa mpaka atakapopatikana mteja mwingine

  • Muda wa mwisho wa shughuli ni saa sita usiku

  • Mteja atatakiwa kulipia kibali cha kufanya sherehe kiasi cha sh 100000

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • AV Equipment:
  • Security Services
  • Photo Booth
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)