Global

Mbezi Garden Executive Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Mbezi Executive

    Added By

    Mbezi Executive

Starts From :

Tsh 1,000,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na ni mkubwa wenye kutosha watu wengi unapatikana mbezi kimara

  • Endapo mteja ataamua kuahilisha sherehe malipo hayatarudishwa kabisa

  • Kiwango Cha chini Cha idadi ya watu watakaopokelewa kwenye ukumbi huu ni watu 300

  • Endapo mteja ataamua kuleta mpambaji wake atalipia Shilingi 500000

  • Malipo yote ya vinywaji na Chakula yafanyike wiki Moja kabla ya sherehe

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni SAA 6 usiku

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Dressing Rooms
  • Security Services
  • Fire Pit

  • 1. MENU 1 = Tsh 16,000 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 18,000 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 20,000 /-

  • 4. MENU 4 = Tsh 25,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)