Global

Sea Breeze Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Sea Breeze

    Added By

    Sea Breeze

Starts From :

Tsh 3,000,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na ni mkubwa wenye kutosha watu wengi unapatikana mbezi beach mtaa wa Bahari Street Barabara ya Mwaikibaki road.

  • Malipo yafanyike kupitia Bank

  • Iwapo mteja atataka kuhairisha shughuli malipo yoyote ya kwenye ukumbi yaliyohusika hayatarudishwa Hadi mteja apatikane.

  • Ni jukumu la mteja kufuatilia kibali Cha sherehe manispaa( magomeni).

  • Mwisho wa sherehe ni Saa sita usiku kulingana na taratibu zilizowekwa na Serikali.

  • Mteja atawajibika kununua vinywaji Kwa Bei ya ukumbini, vinywaji vingine havitaruhusiwa kuingizwa ukumbini

  • Air Conditioning/Heating
  • Accessible Facilities
  • Outdoor Space
  • Dressing Rooms
  • Security Services
  • Gift Storage
  • Shuttle Service
  • Fire Pit
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)