Global

Bright Stone Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Bright Stone

    Added By

    Bright Stone

Starts From :

Tsh 2,500,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Mbezi beach ni ukumbi mzuri sana kwa ajili ya matukio mbalimbali kama harusi, sendoff, kitchen party.

  • Huduma zote za chakula, mapambo na vinywaji zinatolewa na ukumbi

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha sherehe katika ofisi za manispaa

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Security Services
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)