Global

Masiana hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Masiana Hall

    Added By

    Masiana Hall

Starts From :

Tsh 2,500,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana barabara ya Mwai kibaki- Kilimani close

  • Booking inafanywa unapolipa 50% ya ada

  • Booking inakamilika unapolipa 100% ya ada wiki nne au mwezi moja kabla ya sherehe

  • Malipo yafanyike ofisini kwa mkurugenzi kupitia bank

  • Kama sherehe haitafanyika malipo yatarufishwa iwapo utapata mtu wa kubadilisha kwa tarehe hiyo hiyo husika

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha kufanya sherehe katika ofisi za manispaa

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • AV Equipment:
  • Dressing Rooms
  • On-Site Accommodations:
  • Security Services
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)