Global

Lulu social hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Lulu Social

    Added By

    Lulu Social

Starts From :

Tsh 1,050,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa ambao unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali kama harusi, sendoff na kitchen party

  • Haturusu vinywaji, mapambo na chakula kutoka nje

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha sherehe katika ofisi za manispaa ya ubungo

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Security Services
  • Photo Booth
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)