Global

Tunu social hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Tunu Social

    Added By

    Tunu Social

Starts From :

Tsh 1,000,000.00

Ukumbi upo mkabala na barbara iyendayo kituo cha mabasi cha maghufuri karibu na round about ya goba

  • Malipo ya kuanzia ni sh 300000 Hadi 500000

  • Fedha hailudishwi baada ya kufanya malipo

  • Flat screen zinapatikana haps inch 55 malipo yake 100000

  • Ukiingiza vinywaji vyako utachangia 30000

  • Mwisho wa sherehe ni saa sita

  • Mteja unatakiwa kukata kibali cha sherehe katika manispaa ya ubungo.

  • Chumba cha maharusi kinapatikana.

  • Wi-Fi
  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • AV Equipment:
  • Dressing Rooms
  • Security Services
  • Kids’ Area
  • Photo Booth
  • Gift Storage

  • 1. MENU 1 = Tsh 12,000 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 16,000 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 20,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)