Global

Mirado hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Mirado Hall

    Added By

    Mirado Hall

Starts From :

Tsh 2,500,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na ni mkubwa pia wenye kutosha watu wengi unapatikana Shekilango road na igesa road

  • Endapo mteja ataamua kuahilisha sherehe malipo yaliyofanyika yatarudishwa pale ambapo atapatikana mteja mwingine

  • Haturuhusu sherehe mbili Kwa pamoja yaani two in one

  • Mteja haruhusiwi kuingiza mapambo nje ya Miranda Hall endapo ataagiza atalipia penalty ya shilingi 1000000

  • Sherehe za usiku mwisho SAA sita

  • Kibali Cha sherehe kinalipwa na mteja mwenyewe manispaa ya Ubungo shilingi 200000

  • Malipo yote yafanyike Bank

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Security Services
  • Shuttle Service

  • 1. MENU 1 = Tsh 17,500 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 20,500 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 21,000 /-

  • 4. MENU 4 = Tsh 25,500 /-

  • 5. MENU 5 = Tsh 29,000 /-

  • 6. MENU 6 = Tsh 34,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)