Global

Mwika Social Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Mwika Social

    Added By

    Mwika Social

Starts From :

Tsh 700,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri na unachukua watu wengi unapatikana Sinza makaburini.

  • Endapo mteja ataamua kupambiwa na mpambaji wa nje atalipia shilingi 1000000 na atakodishwa cover za viti Kwa shilingi 600

  • Endapo mteja atabadilisha Tarehe ya sherehe yake ni sharti amalize malipo yote ya ukumbi

  • Mteja lazima alipie mwenyewe kibali Cha Kuendesha sherehe katika ofisi ya utamaduni manispaa ya Ubungo

  • Malipo yote yafanyike Bank

  • Mwisho wa sherehe ni Saa sita usiku kulingana na taratibu zilizowekwa na Serikali

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • Security Services
  • Shuttle Service
  • Fire Pit

  • 1. MENU 1 = Tsh 14,500 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 15,500 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 16,500 /-

  • 4. MENU 4 = Tsh 17,500 /-

  • 5. MENU 5 = Tsh 19,500 /-

  • 6. BBQ MENU 6 = Tsh 22,500 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)