Global

Braggin Social Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Braggin Social

    Added By

    Braggin Social

Starts From :

Tsh 2,500,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Goba center Barabara ya makongo juu

  • Mteja lazima alipie mwenyewe kibali Cha sherehe katika ofisi ya utamaduni manispaa ya Ubungo

  • Mtoa HUDUMA ya Chakula lazima awe na cheti Cha TFDA

  • Endapo mteja ataamua kuahilisha sherehe malipo yaliyofanyika yatarudishwa pale ambapo atapatikana mteja mwingine

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)