Global

Danken Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Danken Hall

    Added By

    Danken Hall

Starts From :

Tsh 2,000,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Barabara ya mwai kibaki

  • Malipo yote yafanyike Bank

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni SAA sita usiku

  • Kibali Cha sherehe kinalipwa na mteja mwenyewe

  • Endapo mteja ataamua kuahilisha sherehe malipo yaliyofanyika yatarudishwa pale ambapo atapatikana mteja mwingine

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)