Global

Neada hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Neada Hall

    Added By

    Neada Hall

Starts From :

Tsh 1,000,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana kimara temboni karibia na kituo cha mabasi kimara temboni.

  • Booking inakamilika baada ya kufanya malipo ya awali 800000

  • Malipo yote yaliyobaki yatakamilika wiki moja kabla ya tarehe ya shughuli husika

  • Vinywaji vyote vinapatikana ukumbini haturusu kuingiza vinywaji

  • Vinywaji vilipiwe siku 3 kabla ya sherehe husika

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Kibali cha kufanya sherehe ni 100000 kilipwe manispaa ya ubungo.

  • Air Conditioning/Heating
  • Outdoor Space
  • AV Equipment:
  • Security Services

  • 1. SILVER = Tsh 1,500,000 /-

  • 2. Bronze = Tsh 2,500,000 /-

  • 3. GOLD = Tsh 3,500,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)