Global

Kenyetta (Lush garden)


  • Icon

    Venue Type

    Wedding Venue
  • Lush Garden

    Added By

    Lush Garden

Starts From :

Tsh 2,500,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya hotel ya Lush

  • Unatakiwa kulipa 50% ya jumla ya hela ya sherehe

  • Malipo yakamilike siku 5 kabla ya sherehe

  • Tarumbeta haziruhusuwi

  • Wapambaji hawaruhusiwi kutoboa ukuta Wala kuweka stika kwenye tiles

  • Air Conditioning/Heating
Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)