Global

Ukumbi Business Hall


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • New Mawela

    Added By

    New Mawela

Starts From :

Tsh 2,000,000.00

Ukumbi wetu ni mzuri sana na mkubwa wenye kutosha watu wengi harusi na makongamano unapatika Sinza mkabala na Vatcan hotel

  • Mteja lazima alipie mwenyewe kibali Cha Kuendesha sherehe katika ofisi ya manispaa Ubungo shilingi 100000

  • Endapo mteja ataamua kuahilisha sherehe malipo yaliyofanyika yatarudishwa pale ambapo atapatikana mteja mwingine

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni SAA sita usiku

  • Malipo yote yafanyike Bank

  • Air Conditioning/Heating
  • Accessible Facilities
  • Outdoor Space
  • Security Services
  • Gift Storage
  • Shuttle Service
  • Fire Pit
  • Business Center

  • 1. MENU 1 = Tsh 13,500 /-

  • 2. MENU 2 = Tsh 14,500 /-

  • 3. MENU 3 = Tsh 15,500 /-

  • 4. MENU 4 = Tsh 17,500 /-

  • 5. MENU 5 = Tsh 21,500 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)