Global

Hall Red


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • Hall Red

    Added By

    Hall Red

Starts From :

Tsh 1,500,000.00

Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Mbezi beach njiapanda ya makonde (Nssf road)

  • Booking inakamilika pale tu malipo ya awali yanapofanyika nusu au malipo yote ya ukumbi

  • Mwisho wa kutumia ukumbi ni saa sita usiku

  • Malipo ya mwisho yafanyike wiki moja kabla ya tarehe ya sherehe

  • Sherehe isipofanyika fedha italudishwa pale atakapopatikana mteja mwingine

  • Haturusu kuingiza chakula, vinywaji na mapambo

  • Air Conditioning/Heating
  • AV Equipment:
  • Security Services

  • 1. MENU 1 = Tsh 16,000 /-

  • 1. Hall Red decoration package = Tsh 2,500,000 /-

Reviews Write a review

0.0

out of 5.0 (0 reviews)