Global

FAMILY PARK HALL


  • Icon

    Venue Type

    Banquet Hall
  • GERALD MASSAWE

    Added By

    GERALD MASSAWE

Starts From :

Tsh 1,200,000.00

Family park hall ni ukumbi wa kisasa uliopo Mbezi Luis , Goba Road kwa Robart

  • Booking ya ukumbi inakamilika kwa kulipia kiasi cha TZS 600,000/= na malipo mengine yafanyike siku 5 kabla ya tarehe ya tukio husika.

  • Malipo yote yafanyike kwa njia ya Bank.

  • Mteja unaombwa kuchukua kibali cha kuendesha tukio lake kutoka ofis ya manispaa ya Ubungo angalau siku moja kabla ya tukio.

  • Mteja akihairisha tukio lake malipo ya awali aliyofanya kwa ajili ya ukumbi yatarudishwa endapo hiyo siku amepatikana mteja mwingine, sio vinginevyo

  • Uvutaji wa sigara hauruhusiwi ndani ya ukumbi.

  • Air Conditioning/Heating
  • Accessible Facilities
  • Outdoor Space
  • Bar Services
  • Dressing Rooms
  • On-Site Accommodations:
  • Security Services

  • 1. PLATNUM = Tsh 15,000 /-

  • 2. SILVER = Tsh 18,000 /-

  • 3. DIAMOND = Tsh 22,000 /-

  • 4. GOLD = Tsh 26,000 /-

  • 5. CHOMA = Tsh 30,000 /-

  • 6. FP SPECIAL MENU = Tsh 35,000 /-

  • 1. LUXURY PACKAGE = Tsh 1,500,000 /-

  • 2. ELEGANCE PACKAGE = Tsh 2,000,000 /-

  • 3. EXECUTIVE PACKAGE = Tsh 2,500,000 /-

  • 4. VIP PACKAGE = Tsh 3,000,000 /-

  • 1. CLASS A = Tsh 1,800,000 /-

  • 2. CLASS B = Tsh 1,500,000 /-

  • 3. CLASS C = Tsh 1,000,000 /-

  • 4. CLASS D = Tsh 800,000 /-

Reviews Write a review

5.0

out of 5.0 (4 reviews)
Anthony Ishika
5

Ukumbi mzuri una Parking ya Kutosha na Ulinzi ni wa Uhakika, pia ni karibu na Barabara rahisi kufika. Hongereni kwa kutuletea huduma hii ya kisasa kwa bei rahisi kabisa.

Anonymous
5

Ukumbi ni mzuri sana

Almir Frances
5

Ukumbi ni mzuri