Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
up to 150 guests
Amani Garden ni sehemu nzuri kwa ajili ya sherehe mbalimbali tunapatikana karibu na Mlimani city
Ukumbi wa mikutano unapatikana ndani ya jengo la Ubungo Plaza
Ukumbi wetu ni mzuri sana na ni mkubwa wenye kutosha watu wengi unapatikana mbezi kimara
Garden yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali