Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Victorious Genesis Hall ni ukumbi wa kisasa uliopo Kimara temboni mkabala na barabara ya Morogoro un...
up to 150 guests
1. Viti na cover
2. Meza na vitambaa (Rangi kulingana na mteja)
3. Glass mezani
4. Tissue ya Rangi kwa glass
5. Red carpet la njiani
6. Maua mbele ya stage
7. Plain dancing floor
8. Viti vya mbele na meza
9. Maua ya artificial ya meza za wageni
10. Kupamba gari moja
11. Maua ya wanakamati
12. *Bei zinabadilika kutokana na idadi ya watu
1. Photo booth
2. Pambo kwenye Entrance
3. Dancing Floor yenye majina
4. Glass mezani
5. Tissue ya Rangi kwa glass
6. Red carpet la njiani
7. Fresh flowers mezani
8. Backdrop stage
9. Viti vya mbele na meza
10. Maua ya wanakamati (special)
11. Offer - champagne 2
11. Viti vya Gold/ silver ukumbi mzima
12. Maharusi watakalia sofa
13. Glass za maji/bia na Glass za wine
14. Truss dancing Floor (dancing Floor yenye maua ya kuning'inia)
15. Offer - champagne 4
16. *Bei zinabadilika kutokana na idadi ya watu
Ukumbi wetu ni wa kutumia kwa ajili ya semina na mikutano mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa wenye mazingira bora kwa ajili ya sherehe yako
Garden Hall yetu ni nzuri na kubwa sana yenye uwezo wa kuhudumiwa watu mpaka 800
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Lush