Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa wazi uliopambwa na maua mazuri unaoweza kutumika kwa shughuli mbalimbali
up to 350 guests
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana barabara ya Mwai kibaki- Kilimani close
Ukumbi wetu unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Lush
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi mzuri sana na wa kisasa ambao una mazingira mazuri na unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali