Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wa kisasa wa sherehe za aina mbalimbali kama harusi, sendoff, kitchen party, birthday etc
up to 300 guests
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Kimara temboni morogoro road
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi mpya upo ubungo kibangu njia panda ya makoka/jeshin
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya jengo la hotel ya delta