Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Ramada
up to 200 guests
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Riverside Ubungo
Ukumbi wetu wa mikutano unapatikana ndani ya jengo la Ubungo Plaza
Amani Garden ni sehemu nzuri kwa ajili ya sherehe mbalimbali tunapatikana karibu na Mlimani city
Garden hall yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika Kwa sherehe mbalimbali