Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Kimara korogwe
up to 250 guests
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana kimara mwisho
Ukumbi maalumu kwa ajili ya mikutano mbalimbali
Garden Hall yetu ni nzuri na kubwa sana yenye uwezo wa kuhudumiwa watu mpaka 800
Ukumbi wetu ni wa wazi uliopambwa na maua mazuri unaoweza kutumika kwa shughuli mbalimbali