Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Garden yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
up to 400 guests
Ukumbi upo mkabala na barbara iyendayo kituo cha mabasi cha maghufuri karibu na round about ya goba
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa mikutano mbalimbali
Family park hall ni ukumbi wa kisasa uliopo Mbezi Luis , Goba Road kwa Robart