Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Lush
up to 350 guests
Ukumbi wetu ni wa wazi ambao umependezeshwa na maua mazuri unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Garden yetu ni nzuri ambayo inaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali kama harusi, sendoff na kitchen...
Garden hall yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika Kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Katavi unauwezo wa kubeba watu mpaka 500