Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni mzuri sana na ni mkubwa wenye kutosha watu wengi unapatikana mbezi kimara
up to 800 guests
Ukumbi huu unapatikana ndani ya jengo la Ubungo Plaza floor ya pili
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu unapatikana Mbezi beach Tanki bovu
Ukumbi wetu ni wa wazi unapatikana ndani ya hotel ya Serena unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali