Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu wa conference ni mzuri sana unaweza kuhudumiwa watu mpaka 200
up to 200 guests
Ukumbi wa kisasa wa sherehe za aina mbalimbali kama harusi, sendoff, kitchen party, birthday etc
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa mikutano mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Lush
Garden hall yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika Kwa sherehe mbalimbali