Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana floor ya 3
up to 200 guests
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu kiasi unapatikana mtaa wa twiga
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Kigamboni jijini Dar es salaam
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Tegeta Barabara ya Bagamoyo
Garden yetu ni nzuri unayoweza kutumia kwa shughuli mbalimbali