Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Amani Garden ni sehemu nzuri kwa ajili ya sherehe mbalimbali tunapatikana karibu na Mlimani city
up to 600 guests
Ukumbi wetu ni wa wazi ambao umependezeshwa na maua mazuri unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa ambao unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali kama harusi, sendoff, kitchen...
Ukumbi wetu ni wa wazi kwa ajili ya shughuli mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana barabara ya Mwai kibaki- Kilimani close