Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Garden hall yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika Kwa sherehe mbalimbali
up to 400 guests
Ukumbi wetu ni wa wazi uliopambwa na maua mazuri unaoweza kutumika kwa shughuli mbalimbali
Ukumbi wetu ni mzuri unachukua watu wengi unapatikana Sinza mkabala na Vatcan hotel
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Huu ukumbi wa mikutano unaweza kutumika kwa mikutano mbalimbali