Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Mbezi beach mtaa wa Makonde
up to 500 guests
1. Bei zinabadilika kutokana na idadi ya watu na mahitaji ya mteja chini ya watu 300 pamoja na Truss iliyopambwa
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Mbezi beach njiapanda ya makonde (Nssf road)
Ukumbi upo mkabala na barbara iyendayo kituo cha mabasi cha maghufuri karibu na round about ya goba
Garden hall yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika Kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa wenye mazingira bora kwa ajili ya sherehe yako