Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa mikutano mbalimbali
up to 70 guests
Ukumbi wetu ni wa wazi uliopambwa na maua mazuri unaoweza kutumika kwa shughuli mbalimbali
Garden yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni mzuri na unachukua watu wengi unapatikana Sinza makaburini.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana Zanzibar