Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi
up to 600 guests
Garden yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi upo mkabala na barbara iyendayo kituo cha mabasi cha maghufuri karibu na round about ya goba
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana ndani ya jengo la hotel ya Lush