Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu ni wa kisasa unaoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
up to 120 guests
Ukumbi wetu ni mzuri sana na unachukua watu wengi unapatikana Temeke Taifa
Garden yetu ni ya kisasa inayoweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Ukumbi wetu ni mzuri na unapatikana mbezi beach Kwa Zena opposite na capital plaza.
Ukumbi wetu ni garden ya wazi nzuri kwa ajili ya sherehe yako.