Install this app on your device for quick access and a full-screen experience.
Hassle-free venue booking and state-of-the-art facilities.
Ukumbi wetu unapatikana floor ya pili tunatoa huduma za semina na sherehe
up to 700 guests
Ukumbi wetu wa conference ni mzuri sana unaweza kuhudumiwa watu mpaka 200
Ukumbi wetu ni wa kisasa ambao unaweza kutumika kwa sherehe mbalimbali
Garden Hall yetu ni nzuri sana ambayo ina uwezo wa kubeba Hadi idadi ya watu 1500 Bei zinazotolewa n...
Ukumbi wetu ni wa kisasa unapatikana floor ya 4